Add 'rev/15/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-10 18:39:34 +00:00
parent 77eb03dcab
commit 3049ab2249
1 changed files with 23 additions and 0 deletions

23
rev/15/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,23 @@
# Ufunuo 15 Maelezo kwa jumla
### Muundo na mpangilio
Matukio na picha zinazofafanuliwa hapa inatokea mbinguni.
Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 15:3-4
### Dhana muhimu katika sura hii
#### "Mahali patakatifu, ambamo kulikuwa na hema la mashahidi palifunguka mbinguni"
Maelezo haya yamefanya wasomi wengine kuamini kwamba hekalu la Wayahudi lilikuwa na mandhari ya mbinguni. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/heaven]] na [[rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
#### Nyimbo
Mbinguni mara nyingi huelezewa kama mahali ambapo watu wanaimba.Hizo ni nyimbo za ibada kwa Mungu. Hii inaashiria kwamba mbinguni ni mahali ambapo Mungu anaabudiwa kila mara.
## Links:
* __[Revelation 15:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../14/intro.md) | [>>](../16/intro.md)__