Add 'rev/16/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-10 18:44:49 +00:00
parent 3049ab2249
commit 1b74c66d90
1 changed files with 31 additions and 0 deletions

31
rev/16/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,31 @@
# Ufunuo 16 Maelezo kwa jumla
### Muundo na mpangilio
Sura hii ni hitimisho la sehemu kubwa ya kitabu cha Ufunuo ambayo inamalizia kipindi cha hasira ya Mungu ama hukumu kubwa inaletwa na Mungu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/judge)
Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 16:5-7
### Dhana muhimu katika hii sura
#### "Mahali patakatifu sana"
Maelezo haya yamefanya wasomi wengine kuamini kwamba hekalu la Wayahudi lilikuwa na mandhari ya mbinguni. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/heaven]] na [[rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
#### Hukumu za mabakuli saba
Sura hii inafunua hukumu zinazoitwa hukumu za mabakuli saba. Hukumu hizi zimepewa taswira kama zile ambazo zinamwagwa inje kuashiria haraka na ujumla wa hizo hukumu. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
Hisia ya sura hii inakusudiwa kumshtua msomaji. Hii isipunguzwe kwenye tafsiri.
#### Har-Magedoni
Hili ni neno la Kiebrania na linatumika kama jina la mahali. Yohana anatafsiri herufi za neno hili kwa kuziandika kwa herufi za Kigriki. Watafsiri wanashauriwa kulitafsiri kutumia herufi za lugha kusudiwa.
## Links:
* __[Revelation 16:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../15/intro.md) | [>>](../17/intro.md)__