Add 'eph/front/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-21 20:37:08 +00:00
parent c821ee9b40
commit 0372c31ec5
1 changed files with 65 additions and 0 deletions

65
eph/front/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,65 @@
# Utangulizi wa kitabo cha Waefeso
## Sehemu 1: Utangulizi wa jumla
### Muhtasari wa Waefeso
1. Salamu na maombi kwa baraka za kiroho katika Kristo (1:1-23)
1. Dhambi na wokovu (2:1-10)
1. Umoja pamoja na amani (2:11-22)
1. Siri ya Ukristo ndani mwako umejulikana (3:1-13)
1. Sala ya kuomba utajiri wa utukufu wake iwafanye wenye nguvu (3:14-21)
1.Umoja kiutakatifu na kujenga mwili wa Kristo (4:1-16)
1. Maisha mapya (4:17-32)
1. Waigaji wa Mungu (5:1-21)
1. Wake kwa waume, watoto kwa wazee, watumwa kwa watuma (5:22-6:9)
1. Silaha zake Mungu (6:10-20)
1. Salamu za mwisho (6:21-24)
### Nani aliandika kitabu cha Waefeso?
Paulo aliaandika Waefeso. Paulo alikuwa anatoka mji wa Tarso. Alijulikana pia kama Saulo mwanzoni. Kabla kuwa Mkristo, alikuwa Mfarisayo na kuwatesa Wakristo. Baada ya kuwa Mkristo alitembea mara kadhaa kwa ardhi ya Warumi huku akiambia watu kuhusu Yesu.
Mtume Paulo alisaidia kuanzisha kanisa la Efeso wakati moja wa safari zake. Pia akaishi na Waefeso kwa mwaka moja na nusu akiwasaidia waumini. Pengine Paulo aliandika barua hii angali kwenye jela wa Roma.
### Kitabu cha Waefeso ni kuhusu nini?
Paulo aliwaandikia barua hii Wakristo wa Waefeso kuwaeleza upendo wake Mungu kwao kupitia Yesu Kristo. Alieleza baraka Mungu alikuwa anawapa kwa sababu walikuwa wameunganishwa pamoja na Kristo. Aliwaeleza waumini wote kwamba walikuwa umoja na haikujari kama mtu ni Myahudi au Wayunani.
### Kichwa cha kitabo hiki kinastahili kutafsiriwa je?
Watafsiri wana chaguo la kukiita kitabu hiki kwa jina lake la kitambo, "Waefeso" au jina la wazi, "Barua ya Paulo kwa kanisa la Waefeso" au "Barua kwa Wakristo wa Waefeso." (See: rc://en/ta/man/translate/translate-names)
## Sehemu ya 2: Umuhimu wa Dhana ya Dini na ya Utamaduni.
### Je, ni nini "Ukweli uliofichika" katika kitabu cha Waefeso?
Usemi uliotafsriwa katika ULB* kama "Ukweli uliofichika" hujitokeza mara sita. Kwa hiyo Paulo aliumanisha ujumbe Mungu aliwafunulia wazi binadamu kwa kuwa hawakuweza kuujua kivyao tu. Ilikuwa inajulikana kama siri yake Mungu kuhifadhi wanadamu. Pengine ilikuwa kuhusu mpango wake wa kuleta amani kati yake na wanadamu. Na hata pengine ilikuwwa kuhusu kuleta umoja kati ya Wayahudi na Wayunani.
### Paulo alisema nini kuhusu wokovu na maisha ya haki?
Paulo alinena mengi kuhusu wokovu na maisha ya haki katika barua yake na barua zingine. Ananena kwamba Mungu amekuwa mwema na kuwaokoa Wakristo kwani walimwamini Yesu. Kwa hivyo, baada ya wao kuwa Wakristo, walifaa kuishi maisha ya haki ili kuonyesha kwamba wana imani kwa Kristo. (See: rc://en/tw/dick/bible/kt/righteousou)
## Sehemu ya 3: Mambo makuu ya Utafsiraji
### Umoja na Wingi wa neno "wewe" ni "Nyinyi"
Katika kitabu hiki, neno "Mimi" limetumika kama "Paulo". Neno "Wewe" llimetumika kwa waumini wanaoisoma barua hii. Isipokuwa sehemu hizi tatu: 5:14, 6:2 na 6:3. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-you)
### Je, Paulo alimaanisha nini na "Upekee
When Paul spoke of the "new self" or the "new man," he meant the new nature that a believer receives from the Holy Spirit. This new nature was created in God's image (See: 4:24). The phrase "new man" is also used for God causing peace between Jews and Gentiles. God brought them together as one people that belong to him (See: 2:15).
### What did Paul mean by the expressions "in Christ," "in the Lord," and others like them?
This kind of expression occurs in 1:1, 3, 4, 6, 7, 9, 10, 11, 12, 13, 15, 20; 2:6, 7, 10, 13, 15, 16, 18, 21, 22; 3:5, 6, 9, 11, 12, 21; 4:1, 17, 21, 32; 5:8, 18, 19; 6:1, 10, 18, 21. Paul used these phrases to express the idea of a very close union between Jesus Christ and believers--that believers belong to Christ. Belonging to Christ means the believer is saved and is made a friend with God.
These phrases also have specific meanings that depend on how Paul used them in a particular passage. Depending on the the context, the word “in” can mean “because of,” “by means of,” “that agrees with,” “in submission to,” “in the manner of,” or “in regard to.” The translator may represent those more immediate senses. But, if possible, it would be good for the translator to choose a word or phrase that represents both the immediate sense and the sense of “in union with.” (See: [[rc://en/tw/dict/bible/kt/inchrist]])
### What are the major issues in the text of the Book of Ephesians?
* "in Ephesus" (1:1). Some early manuscripts do not include this expression, but it is probably in the original letter. The ULB, UDB, and many modern versions include it.
* "because we are members of his body" (5:30). Most modern versions, including the ULB, read in this way. Some older translations read, "because we are members of his body and of his bones." Translators might decide to choose the second reading if other versions in their area have it that way. If translators choose the second reading, they should put the additional words inside square brackets ([]) to indicate that they are probably not original to the Book of Ephesians.
(See: [[rc://en/ta/man/jit/translate-textvariants]])