688 B
688 B
rushwa
Ufafanuzi
Neno "rushwa" inamaanisha kumpa mtu kitu cha thamani, kama pesa, kumshawishi afanye jambo bila uaminifu.
- Askari waliolilinda kaburi wazi la Yesu walipewa rushwa ya pesa wakasema uongo juu ya kilichotokea.
- Wakati mwingine maofisa wa serikali wanapewa rushwa ili wasilione kosa au kupiga kura kwa njia nyingine.
- Biblia inazuia kutoa au kupokea rushwa.
- Neno, "rushwa" laweza kutafasiriwa kama "malipo yasiyo harali" au "malipo ya uongo" au "thamani ya kuvunja sheria".
- "Kufanya ongo" kwaweza kutafasiriwa kwa neno au kifungu kinachomaanisha, "kulipa ili kushawishi (mtu)" au "kulipa ili upendeleo usio halari ufanyike" au "kulipa kwa ajili ya upendeleo."