sw_tw/bible/other/beg.md

539 B

kuomba

Ufafanuzi

Neno "kuomba" lamaanisha kumwomba mtu kitu fulani kwa umuhimu. Mara kwa mara inamaanisha kuomba pesa, lakini pia limetumika kuonesha kuombeleza jambo fulani.

  • Mara kwa mara watu wanaomba wakati wanapoitaji jambo fulani kwa uzito, lakini wasijue kwamba kuna mtu atawapa waombacho.
  • "Mwombaji" ni mtu ambaye mara kwa mara hukaa au kusimama katika maeneo ya wazi kuomba pesa kwa watu.
  • Kwa kutegemea mazingira, neno hili lingetafsiriwa kama "kusihi" "omba kwa uzito" "kudai pesa" au "kuomba pesa mara kwa mara."