sw_tw/bible/other/beast.md

895 B

mnyama

Ufafanuzi

Katika Biblia, neno "mnyama" ni njia nyingine ya kusema "mnyama".

  • Mnyama wa porini ni aina ya mnyama anayeishi huru msituni au kondeni na hayawai kufundishwa na watu.
  • Mnyama wa kufugwa anaishi na watu na anatunzwa kwa mboga au kufanya kazi, kama vile kulima shamba. Mara kwa mara neno "mifugo" linatumika kurejerea aina hii ya wanyama.
  • Kitabu cha Danieli katika Agano la Kale na kitabu cha Ufunuo katika Agano Jipya vinaeleza maono yenye wanyama wanaowakilisha nguvu au mamlaka ya uovu inayompinga Mungu.
  • Baadhi ya wanyama hawa wanaelezwa wakiwa na tabia tofauti, kama vile vichwa kadhaa na pembe nyingi. Mara kwa mara wanakuwa na nguvu na mamlaka, kuonesha kwamba waweza kuwakilisha nchi, taifa au mamlaka nyingine ya kisiasa.
  • Njia ya kutafasiri hii yaweza kuhusisha, "kiumbe" au "kitu kilichoumbwa" au "mnyama" au "mnyama wa porini," kutegemea mazingira.