507 B
507 B
Dubu
Ufafanuzi
Dubu ni mnyama mkali mkubwa mwenye miguu minne na ana manyoa meusi, meno na makucha makali. Dubu walikuwa wamezoeleka katika Israeli nyakati za Biblia.
- Wanyama hawa wanaishi misituni na katika maeneo ya milimani; wanakula samaki, wadudu, na mimea.
- Katika Agano la Kale, dubu hutumika kama alama ya nguvu.
- Wakati akichucha kondoo, Daudi kama mchungaji alipambana na dubu na kumshinda.
- Dubu wawili walitoka msituni na kulishambulia kundi la vijana waliomdhihaki nabii Elisha.