624 B
624 B
kikapu
Ufafanuzi
Neno "kikapu" linamaanisha chombo kilichotengenezwa kwa kusukwa.
- Nyakati za Biblia, vikapu pengine vilitengenezwa kwa mimea, kama vile kutoka katika matawi ya miti au magome.
- Kikapu kiliweza kuwekewa vitu vya kuzuia maji ili kiweze kuelea.
- Musa alipokuwa mtoto, mama yake alitengeneza kikapu kisichopenyeza maji kwa kumweka humo na kukieleza katika mafunjo katika Mto Nile.
- Neno lililotafasiriwa kama "kikapu" katika habari hiyo ni sawa na neno "safina" kurejerea mtumbwi alioutengeneza Musa. Maana ya kawaida ya matumizi yake katika mazingira mawili hayo yaweza kuwa' "chombo kieleacho."