sw_tw/bible/other/banquet.md

329 B

Dhifa

Ufafanuzi

Dhifa ni sherehe maalumu ya mlo ambayo kwa kawaida inahusisha aina tofauti ya vyakula.

  • Katika nyakati za kale, wafalme mara kwa mara waliandaa dhifa kuwaburudisha viongozi wa kisiasa na wageni wengine mhimu.
  • Hii yaweza pia kutafasiriwa kama, "mlo maalumu" au "sherehe mhimu" au "mlo wa mchanganyiko"