362 B
362 B
Soari
Ufafanuzi
Soari ulikuwa mji mdogo Alipokimbilia Lutu wakati Mungu alipoiaribu Sodoma na Gomora.
- Hapo mwanzo ilikuwa inajulikana kama "Bela" lakini baadaye yake uliitwa "Soari" wakati Lutu alipomwomba Mungu kuuifadhi mji huu "mdogo".
- Soari unaaminiwa kuwa ulikuwa katika tambarare za Mto Yordani au katika mpaka wa kusini wa Bahari ya Chumvi.