389 B
389 B
Zefania
Ufafanuzi
Zefania, mwana wa Kushu, alikuwa nabii aliyeishi Yerusalemu na kutabiri wakati wa utawala wa Mfalme Yosia. Aliishi wakati mmoja na Yeremia.
- Aliwakemea watu wa Yuda kwa kuabudu miungu ya uongo. Unabii wake umeandikwa katika kitabu cha Zefania katika Agano la Kale.
- Kulikuwa na watu kadhaa katika Agano la Kale wenye jina Zefania, wengi wao wakiwa makuhani.