377 B
377 B
Zakayo
Ufafanuzi
Zakayo alikuwa mtoza ushuru katika mji wa Yeriko aliyepanda katika mti ili aweze kumwona Yesu aliyekuwa amezungukwa na kundi kubwa la watu.
- Zakayo alibadilishwa kabisa alipomwamini Yesu.
- Alitubu dhambi yake ya kuwaibia watu na kuahidi kuwapa masikini nusu ya mali yake.
- Aliahidi pia kwamba angewarudishia mara nne watu aliokuwa amewatoza zaidi.