352 B
352 B
Yese
Ufafanuzi
Yese Yese alikuwa baba wa mfalme Daudi, na mjukuu wa Ruthu na Boazi.
- Yese alikuwa kutoka kabila la Yuda.
- Alikuwa "Muefrathi," inayomaanisha alikuwa kutoka mji wa Efrathi (Bethlehemu).
- Nabii Isaya alitabiri kuhusu "tawi" ambalo litatoka katika "mzizi wa Yese" na kuzaa matunda. Hii inamaanisha Yesu aliyekuwa uzao wa Yese.