sw_tw/bible/names/bethuel.md

251 B

Bethueli

Ufafanuzi

Bethueli alikuwa mwana wa Nahori ndiguye Ibrahimu.

  • Bethueli alikuwa baba wa Rebeka na Labani.
  • Pia kulikuwa na mji uliokuwa ikiitwa Bethueli, ambao yawezekana ulikuwa kusini mwa Yuda, siyo mbali kutoka mji wa Beersheba.