415 B
415 B
Mji wa Bethani
Ufafanuzi
Mji wa Bethani ulikuwa katika bonde la mteremko wa Mlima wa Mizeituni, kama maili mbili mashariki ya Yerusalemu,
- Bethani ulikuwa karibu na njia iliyokwenda kati ya Yerusalemu na Yeriko.
- Yesu alitembelea Bethani mara kwa mara walipokuwa wakiishi Lazaro, Matha na Mariamu, rafiki zake wa karibu.
- Bethani unajulikana maalumu kama sehemu Yesu alipomfufua Lazaro kutoka kwa wafu.