405 B
405 B
Batholomayo
Ufafanuzi
Batholomayo alikuwa ni miongoni mwa wanafunzi kumi na mbili wa Yesu.
- Batholomayo alitumwa pamoja na wale mitume wengini kuhubiri injili na kufanya miujiza kwa jina la Yesu.
- Alikuwa miongoni mwa wale waliomwona Yesu akienda mbinguni.
- Majuma kadhaa baada ya hayo, alikuwa pamoja na mitume wengine huko Yerusalemu siku ya Pentekoste wakati Roho Mtakatifu alipowashukia.