774 B
774 B
Haki ya uzaliwa
Ufafanuzi
Neno "haki ya uzaliwa" inamaanisha heshima katika Biblia, jina la familia, na mali iliyokuwa ikitolewa kwa mzaliwa wa kwanza katika familia.
- Haki ya mzaliwa wa kwanza ilijumuisha mara mbili katika urithi wa baba.
- Mwana wa kwanza wa mfalme kwa kawaida alipewa haki ya uzaliwa ya kurithi baada ya kifo cha baba yake.
- Esau aliuza haki ya uzaliwa kwa Yakobo mdogo wake, kwa sababu hii, Yakobo alirithi baraka ya mzaliwa wa kwanza badala ya Esau.
- Haki ya kuzaliwa pia ilihusisha kuhesabiwa kwa vizazi vya familia kupitia mzaliwa wa kwanza.
Maoni ya Kutafasiri.
- Njia iwezekanayo kutafasiri "haki ya kuzaliwa" ni pamoja na "haki na utajiri wa mzaliwa wa kwanza" au "heshima ya familia" au "faida na urithi wa mzaliwa wa kwanza."