sw_tw/bible/kt/beloved.md

882 B

mpendwa

Ufafanuzi

Neno "mpendwa" ni kifungu cha kitabia kinachomweleza mtu anayependa na mwingine.

  • Neno "aliyependwa" kwa kawaida limanaanisha "kupendwa" au "anayependwa".
  • Mungu anamtaja Yesu kama "Mwanawe mpedwa".
  • Katika barua zao kwa makanisa ya Kikristo, mitume mara kwa mara waliwataja waumini wenzao kama "wapendwa."

Maoni ya Ufasiri

  • Neno hili pia laweza kufasiriwa kama "mpendwa" au "apendwaye" au "anayependwa sana" au "mpenzi."
  • Katika mazingira ya kuzungumzia rafiki wa karibu, yaweza kutafasiriwa kama "rafiki yangu mpenzi" au "rafiki yangu wa karibu." Katika Kiingereza ni kawaida tu kusema, "rafiki yangu mpenzi, Paulo" au Paulo, ambaye ni rafiki yangu mpenzi." Lugha nyingine zaweza kuwa na njia nyingine ya kueleza hali hii.
  • Angalia kwamba neno "mpendwa" linatokana na neno la upendo wa Mungu, ambao hauna masharti, ubinafsi, na wa kujitoa.