359 B
359 B
Kuamini, kuamini katika
Ufafanuzi
Neno "kuamini" na "kuamini katika" yanahusiana kwa karibu, lakini yana maana tofauti:
Maoni ya Kutafasiri
- "Kuamini" laweza kutafasiriwa kama "kujua kuwa ni kweli" au "Jua kuwa sawa."
- "Kuwa na imani" laweza kufasiriwa kama "kuamini kikamilifu" au "kuamini na Kutii" au "kutegemea kwa ukamilifu na kufuata."