715 B
715 B
Batiza, ubatizo
Ufafanuzi
Katika Agano Jipya, maneno "batiza" na "ubatizo" kwa kawaida utaratibu wa kuoshwa kwa Mkiristo kwa kutumia maji kuonesha kwamba ameoshwa kutoka katika dhambi na ameungana na Kristo.
- Mbali na ubatizo wa maji, Biblia inazungumzia "kubatizwa kwa Roho Mtakatifu" na "kubatizwa kwa moto."
- Neno "ubatizo" katika Biblia limetumika pia kuonesha hali ya kupitia matiso makubwa.
Maono ya Kutafasiri
- Wakristo wanamaoni tofauti jinsi mtu anavyopaswa kubatizwa kwa maji. Pengine inafaa zaidi kutafasiri neno hili kwa njia ya jumla inayoruhusu njia mbalimbali ya kutumia maji.
- Kwa kutegemea mazingira, neno "batiza" laweza kutafasiriwa kama "kutakasa," "kumimina juu, "kuzamisha"