sw_tq/1sa/31/09.md

171 B

Wafilisti waliufanya nini mwili wa Sauli walipokwenda kuukata?

Wafilisti walikata kichwa cha Sauli na wakatundika kiwiliwili chake kwenye ukuta wa mji wa Bethi Shani.