sw_tq/1sa/31/04.md

402 B

Sauli alimuomba mbeba silaha wake afante nini kwa sababu alikuwa katika maumivu makali na aliogopa kuwa adui zake watakuja na kumnyanyasa?

Alimuomba anyanyue upanga wake na amuue.

Sauli alifanya nini mbeba silaha wake alipoogopa na kukataa kumuua?

Sauli alichukua upanga wake mwenyewe na kuuangukia.

Mbeba silaha alifanya nini baada ya kuona Sauli amekufa?

Aliangukia upanga wake na akafa.