sw_tq/1sa/30/07.md

230 B

Daudi alitaka kujua nini alipoomba kwa Bwana?

Daudi alitaka kujua kama akiwafuata Waamaleki atawapata.

Bwana alimpa jibu gani Daudi?

Bwana alimwambia kuwa akilifuata jeshi atafanikiwa na kupata kila kitu kilichochukuliwa.