sw_tq/1sa/30/03.md

296 B

Daudi na watu wake walifanya nini baada ya kuona kilichotokea Ziklagi?

Walipaza sauti zao na kulia hadi walipokuwa hawana nguvu zaidi za kulia.