sw_tq/1sa/26/24.md

133 B

Ni thamani gani ambayo Daudi aliionesha kuwa anayo juu ya maisha ya Sauli?

Maisha ya Sauli yalikuwa ya thamani machoni pa Daudi.