sw_tq/1sa/25/16.md

142 B

Kwa nini kijana alikwenda kwa Abigaili badala ya kwenda kwa Nabali?

Nabali alikuwa mtu asiyefaa na hakuna mtu aliyeweza kushauriana naye.