sw_tq/1sa/23/15.md

133 B

Ni kwa namna gani Yonathani mwana wa Sauli alimsaidia Daudi jangwani?

Alikwenda kwa Daudi na kuitia nguvu mikono yake kwa Bwana.