sw_tq/1sa/22/18.md

151 B

Doegi aliwaua akina nani kwa ncha ya upanga kwenye mji wa makuhani?

Aliwaua wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, ng'ombe na punda na kondoo.