sw_tq/1sa/19/04.md

147 B

Yonathani alimwambia Sauli kuwa matendo ya Daudi yamemletea nini yeye?

Yonathani alimwambia Sauli kuwa matendo ya Daudi yalimletea Sauli mema.