sw_tq/1sa/18/20.md

152 B

Sauli alifikiri kuwa binti yake Mikali atakuwa nini kwa Daudi ikiwa Sauli atampatia Daudi binti yake?

Sauli alifikiri kuwa utakuwa mtego kwa Daudi.