sw_tq/1sa/17/25.md

168 B

Mfalme angefanya nini kwa nyumba ya baba yake mtu atakayemuua Goliati?

Mfalme atampa mtu huyo utajiri na kuifanya nyumba ya baba yake kutolipa kodi katika Israeli.