sw_tq/1sa/17/14.md

154 B

Ni kwa muda wa siku ngapi Mfilisti mwenye nguvu alikuwa akijitokeza vitani?

Kwa muda wa siku arobaini alijitokeza asubuhi na jioni kwa ajili ya vita.