sw_tq/1sa/16/14.md

271 B

Ni roho gani ilimsumbua Sauli badala ya roho ya Bwana?

Roho ya ubaya toka kwa Bwana ilimsumbua.

Mtumishi wa Sauli alisema kuwa mpigani mzuri wa kinubi atafanya nini wakati ambao roho ya ubaya ipo kwa Sauli?

Mpigaji wa kinubi atakipiga na Sauli atajisikia vizuri.