sw_tq/1sa/16/08.md

135 B

Samweli alimwambia nini Yese baada ya kufanya watoto saba kupita mbele yake.

Samweli alimwambia kuwa Bwana hakumchagua hata mmoja.