sw_tq/1sa/14/24.md

165 B

Nini kilisababisha watu wenye njaa wa Israeli kuwa katika dhiki?

Sauli aliwaweka watu chini ya kiapo kuwa mtu yeyote atakayekula chakula mpaka jioni atalaaniwa.