sw_tq/1sa/12/04.md

169 B

Samweli alishawahi kufanya jambo lolote ovu dhidi ya wana wa Israeli?

Wana wa Israeli walimwambia Samweli kuwa hajawadanganya au kuwaonea au kuwaibia kitu chochote.