sw_tq/1sa/10/01.md

360 B

Kwa nini Sauli alimimina mafuta juu ya kichwa cha Sauli na kumbusu?

Alimimina mafuta juu ya kuchwa cha Sauli kwa sababu Bwana alimchagua kuwa mtawala juu ya urithi wake.

Ni matukio gani yanayofuata ambayo Samweli alimshirikisha Sauli?

Samweli alimwambia Sauli atawakuta watu wawili karibu na kaburi la Raheli ambao watamwambia kuwa punda wamepatikana.