sw_tq/1sa/08/16.md

754 B

Nini lilikuwa onyo ambalo Samweli aliwapa wana wa Israeli juu ya namna ambavyo mfalme atawafanyia wafanyakazi wao, vijana wao na wanyama?

Samweli aliwaonya kuwa mfalme atawachukua wafanyakazi wao, vijana wao wazuri na punda zao, na fungu la kumi la makundi yao na kuwafanya watumwa.

Samweli aliwaonya wana wa Israeli kuwa nini kitatokea watakapolia kwa sababu ya mfalme ambaye wamemchagua wenyewe?

Samweli alisema kuwa watakapomlilia Bwana, Bwana hatawajibu.