sw_tq/1sa/08/01.md

340 B

Ni kwa namna gani wana wawili wa Samweli waliokuwa waamuzi hawakutembea katika njia za baba yao?

Walikuwa wakijipatia faida, wakichukua rushwa na wakipotosha hukumu.