sw_tq/1sa/02/03.md

182 B

Kwa nini Hana alisema tusijivune au kuzungumza kwa kiburi ?

Hatutakiwi kujivuna au kuzungumza kwa kiburi kwa sababu Bwana ni Mungu wa maarifa na kwake yeye matendo yote hupimwa.