sw_tq/1sa/02/01.md

139 B

Kwa nini Hana aliongea kwa uhodari juu ya adui zake?

Hana aliongea kwa uhodari juu ya adui zake kwa sababu alifurahia wokovu wa Bwana.