sw_tq/1sa/01/12.md

412 B

Kwa sababu Hana alizungumza na Bwana toka moyoni mwake, kuhani Eli alifikiri nini juu ya vitendo vyake?

Eli alipoona midomo ya Hana kama inanena lakini hasikii sauti alifikiri kuwa Hana amelewa mvinyo.