initial conversion

This commit is contained in:
Larry Versaw 2018-04-10 15:04:11 -06:00
parent ebf499f70d
commit 9bfd10ce5d
2740 changed files with 16952 additions and 0 deletions

8
1co/01/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Nani aliyemwita Paulo na alimwitwa kuwa nani?
Yesu Kristo alimwita Paulo kuwa mtume
# Paulo anatamani kanisa la Korintho lipokee nini kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo?
Paulo anatamani wapate neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo

4
1co/01/04.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Mungu ametajirisha kanisa la Korintho kwa namna gani?
Mungu amewatajirisha katika namna zote, katika usemi wote na katika maarifa yote.

8
1co/01/07.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# kitu gani ambacho Kanisa la Korintho halikupungukiwa?
Hawatapungukiwa karama za rohoni
# Kwa nini Mungu ataliimarisha kanisa la Korintho katika nyakati za mwisho?
Mungu atawaimarisha ili wasiwe na lawama katika siku ya Bwana wetu Yesu Kristo.

8
1co/01/10.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo analisihi kanisa la Korintho kufanya nini?
Paulo anawasihi wakubaliane wote na wasigawanyike katika makundi, waungane katika nia moja na kusudi moja.
# Watu wa Kloe walimtaarifu nini Paulo?
Watu wa Kloe walimtaarifu Paulo kuwa kulikuwa na mgawanyiko (ugomvi) miongoni mwa watu wa kanisa la Korintho.

4
1co/01/12.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Paulo alimaanisha nini kwa kusema mgawanyiko (ugomvi)?
Paulo alimanisha hivi: Kila mmoja husema, "Mimi ni wa Paulo," au "Mimi ni wa Apolo," au "Mimi ni wa Kefa," au "Mimi ni wa Kristo."

8
1co/01/14.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini Paulo anamshukuru Mungu kwamba hakumbatiza yeyote miongoni mwao isipokuwa Krispo na Gayo?
Paulo anamshukuru Mungu kwa hili kwa sababu hii isengeliwapa nafasi ya kusema walibatizwa katika jina la Paulo.
# Kwa nini Paulo anamshukuru Mungu kwamba hakumbatiza yeyote miongoni mwao isipokuwa Krispo na Gayo?
Paulo anamshukuru Mungu kwa hili kwa sababu hii isengeliwapa nafasi ya kusema walibatizwa katika jina la Paulo.

4
1co/01/17.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kristo alimtuma Paulo kufanya nini?
Kristo alimtuma Paulo kuhubiri injili.

8
1co/01/18.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# ujumbe wa msalaba ni nini kwa wote wanaokufa?
Ujumbe wa msalaba ni kama ujinga(upumbavu) kwa wale wanaokufa.
# ujumbe wa msalaba ni nini miongoni mwa wale wanaookolewa na Mungu?
Ni nguvu ya Mungu miongoni mwa wale wanaookolewa na Mungu.

8
1co/01/20.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Mungu ameigeuza hekima ya ulimwengu kuwa nini?
Mungu ameigeuza hekima ya ulimwengu kuwa ujinga(upumbavu)
# Kwa nini ilimpendeza Mungu kuwaokoa wale wanaoamini kupitia upumbavu wa kuhubiri?
Ilimpendeza Mungu kufanya hivi kwa sababu ulimwengu katika hekima yake haukumjua Mungu

8
1co/01/26.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Wanagapi Mungu aliwaita waliokuwa na hekima katika viwango vya kibinadamu, au wenye nguvu au uzao wa kifalme?
Mungu hakuwaita wengi waliokuwa katika hali hii.
# Kwa nini Mungu alichagua vitu vijinga na dhaifu vya ulimwengu?
Mungu alifanya hivyo ili kuwaaibisha wenye hekima na wenye nguvu.

8
1co/01/28.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Mungu alifanya nini ili asiwepo mtu mwenye sababu ya kujivuna mbele zake?
Mungu aliwachagua walio chini na waliodharauliwa katika ulimwengu na hata vitu vile vilivyohesabiwa si kitu.
# Mungu alifanya nini ili asiwepo mtu mwenye sababu ya kujisifu mbele zake?
Mungu aliwachagua walio chini na waliodharauliwa katika ulimwengu na hata vitu vile vilivyohesabiwa si kitu.

12
1co/01/30.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Kwa nini wakristo walikuwa ndani ya Kristo Yesu?
Walikuwa ndani ya Kristo Yesu kwa sababu ya kile Mungu alifanya.
# Kristo Yesu amekuwaje kwa ajili yetu?
Amekuwa kwetu hekima kutoka kwa Mungu- haki yetu, utakatifu, na ukombozi.
# Kama tungelijisifu, tungejisifu kwa nani?
Yeyote anayejisifu, ajisifu katika Bwana.

8
1co/02/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Katika hali ipi Paulo alikuja kwa wakorintho alipohubiri kweli ya Mungu iliyofichika?
Paulo hakuja na maneno ya ujanja au hekima alipohubiri kweli ya Mungu iliyofichika.
# Paulo aliamua kujua jambo gani alipokuwa miongoni mwa Wakorintho?
Paulo aliamua asijue chochote isipokuwa Kristo na kusulubiwa kwake.

8
1co/02/03.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini ujumbe wa Paulo na kuhubiri kwake ulikuwa katika kumdhihirisha Roho na nguvu badala ya maneno ya kushawishi yenye hekima?
Ilikuwa hivyo ili imani yao isiwe katika hekima ya kibinadamu lakini katika nguvu ya Mungu.
# Kwa nini ujumbe wa Paulo na kuhubiri kwake ulikuwa katika kumdhihirisha Roho na nguvu badala ya maneno ya kushawishi yenye hekima?
Ilikuwa hivyo ili imani yao isiwe katika hekima ya kibinadamu lakini katika nguvu ya Mungu.

4
1co/02/06.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Paulo na wenzake walizungumza kuhusu hekima gani?
Walizungumza kuhusu hekima ya Mungu katika ukweli uliofichika, -hekima ya Mungu iliyofichika ambayo Mungu alitujalia kabla ya nyakati za utukufu wetu.

4
1co/02/08.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kama watawala wa nyakati za Paulo wangelijua hekima ya Mungu jambo gani wasingefanya?
Kama wale watawala wangejua hekima ya Mungu wasingemsulubisha Bwana wa Utukufu.

8
1co/02/10.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo na wale waliokuwa naye walijuaje hekima ya Mungu?
Mungu aliwafunua mambo hayo kupitia Roho.
# Nani anayejua mambo yaliyoko ndani ya Mungu?
Ni Roho wa Mungu ndiye ajuaye mambo yaliyo ndani ya Mungu.

4
1co/02/12.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Sababu mojawapo ni ipi Paulo na wenzake walipokea Roho ambaye anatoka kwa Mungu?
Walipokea Roho ambaye anatoka kwa Mungu ili kwamba waweza kujua vitu kamili tulivyopewa na Mungu.

8
1co/02/14.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini mtu asiye wa rohoni hawezi kupokea au kujua vitu vile vya Roho wa Mungu?
Mtu asiye wa rohoni hawezi kuvipokea hivyo kwa sababu ni vya upuuzi kwake na hawezi kujua vyote kwa sababu vinatambuliwa kwa namna ya Kiroho.
# Paulo alisema ni mawazo(nia) ya namna gani waliyonayo watu wanaoamini katika Yesu?
Paulo alisema wana mawazo(nia) ya Kristo

8
1co/03/03.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini Paulo alisema waumini wa Korintho walikuwa bado wa mwilini?
Paulo alisema walikuwa bado wa mwilini kwa sababu wivu na majivuno yalionekana miongoni mwao.
# Paulo na Apolo walikuwa akina nani kwa Wakorintho?
Walikuwa watumishi ambao kupitia wao Wakorintho walimwamini Kristo.

4
1co/03/06.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Nani anayekuza?
Mungu ndiye akuzaye.

4
1co/03/10.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Msingi ni nini?
Yesu Kristo ndiye msingi

12
1co/03/12.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Nini kitatokea katika kazi ya mtu anayejenga kwenye msingi wa Yesu Kristo?
Kazi yake itafunuliwa katika nuru na katika moto.
# Nini kitatokea katika kazi ya mtu anayejenga kwenye msingi wa Yesu Kristo?
Kazi yake itafunuliwa katika nuru na katika moto.
# Moto utaifanya nini kazi ya mtu?
Moto utathibitisha ubora wa kazi ya kila mtu

8
1co/03/14.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Ni nini kitatokea kama kitu chochote mtu alijenga kitabaki baada ya moto?
Mtu huyo atapokea tuzo.
# Ni nini kitatokea kwa mtu ambaye kazi yake itaungua?
Mtu huyo atapata hasara, lakini yeye mwenyewe ataokolewa, kama kuopolewa kutoka motoni.

8
1co/03/16.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Sisi ni nani na nini kinaishi ndani yetu kama waumini katika Yesu Kristo?
Sisi ni Hekalu la Mungu na Roho wa Mungu anaishi ndani yetu.
# Nini kitatokea kama mtu ataharibu hekalu la Mungu?
Mungu atamharibu mtu ambaye anaharibu hekalu la Mungu.

8
1co/03/18.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo anasema nini kwa yule anayefikiri ni mwenye hekima katika nyakati hizi?
Paulo asema, "...awe "mjinga" ili anaweza kuwa mwenye hekima."
# Bwana anajua nini kuhusu fikira za wenye hekima?
Bwana anajua kwamba fikira za wenye hekima ni ubatili.

8
1co/03/21.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini Paulo anawaambia Waumini wa Korintho waache kujivuna kuhusu watu?
Aliwaambia kuacha majivuno, "Kwa kuwa vitu vyote ni vyenu," na kwa sababu, "...ninyi ni wa Kristo, and Kristo ni wa Mungu."
# Kwa nini Paulo anawaambia Waumini wa Korintho waache kujivuna kuhusu watu?
Aliwaambia kuacha majivuno, "Kwa kuwa vitu vyote ni vyenu," na kwa sababu, "...ninyi ni wa Kristo, and Kristo ni wa Mungu."

4
1co/04/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Paulo anawaambia Wakorintho wanapaswa kuwahesabu Paulo na washirika wake kama nani?
Wakorintho wanapswa kuwahesabu wao kama watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za kweli za Mungu.

4
1co/04/03.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Paulo anasema hakimu wake ni nani?
Paulo anasema Bwana ndiye anayemhukumu.

4
1co/04/05.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Bwana atafanya nini atakapokuja?
Ataweka nuruni vitu vilivyofichika vya gizani na kufunua makusudi ya moyo.

4
1co/04/06.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kwanini Paulo anaitumia kanuni hizi kwake yeye mwenyewe na kwa Apolo?
Paulo alifanya hivyo kwa ajili ya waumini wa Korintho kwamba wanaweza kujifunza maana ya usemi, "Usiende zaidi ya ilivyoandikwa." ili kwamba hakuna kati yao angeweza kufikiri kwa upendeleo kinyume na mwingine.

4
1co/04/08.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kwa nini Paulo awatakia waumini wa Wakorintho kumiliki?
Paulo awatakia walimiliki ili kwamba Paulo na washirika wake wangeweza kumiliki pamoja nao.

8
1co/04/10.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo na wenzake wanapingana na Waumini wa Korintho katika mambo matatu yapi?
Paulo asema, "Sisi tu wajinga kwa ajili ya Kristo,lakini mna busara katika Kristo. Sisi tudhaifu,lakini ninyi mna nguvu. Mnaheshimiwa, lakini sisi tunadharauliwa.
# Paulo alieleza hali ya kimwili ya mitume kuwa ni ya namna gani?
Paulo alisema walikuwa na njaa na kiu, walivaa mavazi mbaya, walipingwa kikatiri na hawakuwa na makazi.

4
1co/04/12.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kwa namna gani Paulo na washirika wenzake wanafanya wanapodharauliwa?
Wanapodharaliwa, wanabariki. Wanapoteswa, wanavumilia. Wanapotukanwa wanarudisha kwa upole.

8
1co/04/14.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini Paulo aliandika mambo haya kwa waumini wa Korintho?
Aliawandikia kuwarekebisha kama watoto wake wapendwa.
# Paulo anawaambia waumini wa Korintho wamuige nani?
Paulo anawaambia wamuige yeye mwenyewe.

8
1co/04/17.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo alimtuma Timotheo kufanya kitu gani kwa waumini wa Korintho ili kuwakumbusha?
Paulo alimtuma Timotheo kwenda Korintho kuwakumbusha waumini juu ya njia za Paulo katika Kristo.
# Baadhi ya waumini wa Korintho walikuwa waktenda kwa namna gani?
Baadhi yao walikuwa na majivuno, wakitenda kana kwamba Paulo hatawatembelea.

4
1co/04/19.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Ufalme wa Mungu upo katika nini?
ufalme wa Mungu upo katika nguvu.

8
1co/05/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Ni habari gani Paulo alisikia kuhusu kanisa katika Korintho?
Paulo alisikia kwamba kulikuwa na zinaa. Mmoja wao alikuwa amelala na mke wa baba yake.
# Paulo alisema lazima kifanyike kitu gani kwa mtu aliyefanya dhambi na mke wa baba yake?
Yule aliyefanya dhambi na mke wa baba yake lazima aondolewe miongoni mwao.

8
1co/05/03.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa namna gani na kwa nini mtu aliyefanya dhambi na mke wa baba yake angeondolewa?
Wakati kanisa la Korintho lilipokutana pamoja katika jina la Bwana Yesu walitakiwa kumkabidhi kwa shatani mtu aliyetenda dhambi ili mwili wake uharibiwe, na roho yake iweze kuokolewa katika siku ya Bwana.
# Kwa namna gani na kwa nini mtu aliyefanya dhambi na mke wa baba yake angeondolewa?
Wakati kanisa la Korintho lilipokutana pamoja katika jina la Bwana Yesu walitakiwa kumkabidhi kwa shatani mtu aliyetenda dhambi ili mwili wake uharibiwe, na roho yake iweze kuokolewa katika siku ya Bwana.

8
1co/05/06.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo analinganisha tabia mbaya na udhaifu na kitu gani?
Paulo anavilinganisha na hamira
# paulo anatumia kitu gani kama sitiari kuhusu unyenyekevu na kweli
Anatumia mkate usiotiwa hamira kama sitiari kuhusu unyenyekevu na kweli.

8
1co/05/09.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo aliwaambia waumini wa Korintho wasishirikiane na nani?
Paulo aliwaandikia wasishirikiane na watu wazinzi.
# Paulo alimaanisha nini aliposema wasishirikiane na watu wazinzi?
Paulo hakumaanisha watu wazinzi wa hapa duniani. Kama ni hivyo ilipaswa kuondoka hapa duniani na kukaa mbali.

12
1co/05/11.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Paulo alimaanisha waumini wa Korintho wasishirikiane na nani?
Anamaanisha kwao wasichangamane na mtu yeyote aitwaye ndugu katika Kristo ambaye ni mzinzi, mwenye tamaa, mlevi, mtukanaji, dhalimu au mwabudu sanamu.
# Waumini walipaswa kuwahukumu kina nani?
Walipaswa kuwahukumu waliokuwa ndani ya kanisa.
# Nani anawahukumu walioko nje ya kanisa?
Mungu anawahukumu walio nje.

16
1co/06/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Paulo anasema watakatifu wa Korintho wanaweza kuhukumu kitu gani?
Paulo asema wanapaswa kuwa tayari kuamua matatizo kati ya watakatifu kuhusu mambo ya maisha haya.
# Watakatifu watamhukumu nani?
Watakatifu wataihukumu dunia na malaika.
# Watakatifu watamhukumu nani?
Watakatifu wataihukumu dunia na malaika.
# Paulo anasema watakatifu wa Korintho wanaweza kuhukumu kitu gani?
Paulo asema wanapaswa kuwa tayari kuamua matatizo kati ya watakatifu kuhusu mambo ya maisha haya.

4
1co/06/04.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Wakrito wa Korintho wanakabiliana vipi na migogoro miongoni mwao?
Muumini mmoja anakwenda kumshitaki mahakamani muumini mwenzake, na kesi yao inasuluhishwa na hakimu asiyeamini.

4
1co/06/07.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kuwepo migogoro miongoni mwa wakristo wa Korintho hii inaonyesha nini?
hii inaonesha kwamba wameshindwa.

12
1co/06/09.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Nani hataridhi ufalme wa Mungu?
Wasio haki, waasherati, waabudu sanamu, wazinzi, walawiti, wale wanaofanya ufilaji, wevi, wenye tamaa, walevi, wadhalimu na wanyang'anyi hawatauridhi Ufalme wa Mungu.
# Nani hataridhi ufalme wa Mungu?
Wasio haki, waasherati, waabudu sanamu, wazinzi, walawiti, wale wanaofanya ufilaji, wevi, wenye tamaa, walevi, wadhalimu na wanyang'anyi hawatauridhi Ufalme wa Mungu
# Ilikuwaje kwa waumini Wakorintho ambao hapa kwanza hawakuwa watakatifu?
Walitakaswa na kufanywa watakatifu; wakafanywa kuwa wenye haki na Mungu katika jina la Bwana Yesu Kristo na kwa Roho wa Mungu.

8
1co/06/12.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Ni vitu gani viwili Paulo asema hataviruhusu kumtawala?
Paulo asema hawezi kutawaliwa na chakula au zinaa.
# Ni vitu gani viwili Paulo asema hataviruhusu kumtawala?
Paulo asema hawezi kutawaliwa na chakula au zinaa

8
1co/06/14.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Miili ya waumini ni viungo vya nini?
Miili yao ni viungo vya Kristo
# Je waumini wanapswa kuwa na muunagniko na makahaba?
Hapana. Kmwe isitokee.

8
1co/06/16.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kinatokea nini mtu apojiunganisha kwa kahaba?
Anakuwa mwili mmoja na huyo kahaba.
# Kinatokea nini mtu apojiunganisha kwa kahaba?
Anakuwa mwili mmoja na huyo kahaba.

4
1co/06/18.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Watu wanafany dhambi dhidi ya nani wanapofanya zinaa?
Wanafanya dhambi dhidi ya miili yao wenyewe wanapofanya zinaa.

8
1co/06/19.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwanini waumini wanapaswa kumtukuza Mungu kwa miili yao?
Wanapaswa kumtukuza Mungu kwa miili yao kwa sababu miili yao ni hekalu la Roho Mtakatifu na kwa sababu walinunuliwa kwa thamani.
# Kwanini waumini wanapaswa kumtukuza Mungu kwa miili yao?
Wanapaswa kumtukuza Mungu kwa miili yao kwa sababu miili yao ni hekalu la Roho Mtakatifu na kwa sababu walinunuliwa kwa thamani.

4
1co/07/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# kwa nini kila mwaume anapaswa kuwa na mke wake na kila mwanamke kuwa na mume wake?
Kwa sababu ya majaribu, na kuongezeka kwa matendo mengi mabaya kila mwaume anapaswa kuwa na mke wake na kila mwanamke anapaswa kuwa na mume wake.

4
1co/07/03.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Je mke au mume anamamlaka juu ya mwili wake?
Hapana. Mume anamamlaka juu ya mwili wa mke wake na vile vile mke anamamlaka juu ya mwili wa mume wake.

4
1co/07/05.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Ni wakati gani mzuri kwa mume na mke kuacha kushiriki tendo la ndoa?
Ni vyema kama wote mume na mke watakubaliana na kupanga kipindi, ili kwamba wanaweza kudumu katika maombi.

8
1co/07/08.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo anasema wajane na watu ambao hawajaolewa ni jambo gani zuri kufanya?
Paulo asema ni vizuri kwao kubaki bila kuolewa.
# Watu ambao hawajaolewa na wajane wanaweza kuolewa katika hali hali gani?
Wanaweza kuolewa kama watapata tamaa na kushindwa kujizuia.

8
1co/07/10.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Bwana anatoa amri gani kwa wale walioolewa?
Mke hawapaswi kutengana mume wake.Kama atatengana na mume wake asiolewe au afanye mapatano na mumewe. Pia, mume hapaswi kumpa talaka mke wake.
# Bwana anatoa amri gani kwa wale walioolewa?
Mke hawapaswi kutengana mume wake.Kama atatengana na mume wake asiolewe au afanye mapatano na mumewe. Pia, mume hapaswi kumpa talaka mke wake.

8
1co/07/12.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Muumini mwanamke au mwanamke anapaswa kumpa talaka mwenzi wake asiyeamini?
Kama mwanaume au mwamke asiyeamini anaridhika kuishi na wenzi wake, Wenzi mwamini hawapaswi kumpa talaka asiyeamini.
# Muumini mwanamke au mwanamke anapaswa kumpa talaka mwenzi wake asiyeamini?
Kama mwanaume au mwamke asiyeamini anaridhika kuishi na wenzi wake, Wenzi mwamini hawapaswi kumpa talaka asiyeamini.

4
1co/07/15.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Muumini anapaswa kufanya nini kama mwenzi wake asiyeamini akiondoka?
Muumini atamruhusu mwenzi wake asiyeamini aondoke...

8
1co/07/17.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo aliweka taratibu gani katika makanisa yote?
Utaratibu ulikuwa: Kila mmoja aishi maisha Bwana alivyomgawia, na namna Mungu alivyomwita.
# Paulo alitoa ushauri gani kwa waliotahiriwa na wasiotahiriwa?
Paulo alisema wasiotahiriwa hawapaswi kutahiriwa na waliotahiriwa wasijaribu kuondoa alama za tohara zao.

8
1co/07/20.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo alisema nini juu ya watumwa?
Kama walikuwa watumwa pale Mungu alipowaita, wasijali juu ya hilo, lakini kama wanaweza kuwa huru, wafanye hivyo. Hata kama walikuwa watumwa, kwa Bwana ni watu waliohuru. Hawapaswi kuwa watumwa wa watu.
# Paulo alisema nini juu ya watumwa?
Kama walikuwa watumwa pale Mungu alipowaita, wasijali juu ya hilo, lakini kama wanaweza kuwa huru, wafanye hivyo. Hata kama walikuwa watumwa, kwa Bwana ni watu waliohuru. Hawapaswi kuwa watumwa wa watu.

4
1co/07/25.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kwa nini Paulo alifikiri ni muhimu kwa mtu ambaye hajaoa abaki bila kuoa kama Paulo alivyokuwa?
Paulo alifikiri hivy kwa sababu ya hali ya hatari ilikuwa vizuri kwa mwanaume kuacha kuoa.

8
1co/07/27.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Nini waumini wanapswa kufanya kama wamefungwa na mwanamke kwa viapo vya ndoa?
Hawapaswi kutafuta uhuru kutoka katika viapo vyao kwa kuoa mwanamke.
# Kwa nini Paulo anawaambia walio na uhuru kutoka kwa mke na ambao hawajaolewa,"usitafute mke"?
Alisema hivyo kwa sababu alitaka awatoe katika taabu mbalimbali ambazo watazipata wanaooa katika kuishi kwao.

4
1co/07/29.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kwa nini wanaoshughulika na dunia wanapaswa kuwa kama hawajawhi kushughulika nayo?
Wanapaswa kufanya hivyo kwa sababu mfumo wa dunia hii unaelekea mwisho.

8
1co/07/32.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini ni vigumu wakristo waliooa kutokuwa na mgawanyiko katika kujitoa kwa Bwana?
Ni vigumu kwa sababu mume mwamini au mke hushughulika kuhusu mambo ya dunia, jinsi ya kumpendeza mke au mume wake.
# Kwa nini ni vigumu wakristo waliooa kutokuwa na mgawanyiko katika kujitoa kwa Bwana?
Ni vigumu kwa sababu mume mwamini au mke hushughulika kuhusu mambo ya dunia, jinsi ya kumpendeza mke au mume wake.

4
1co/07/36.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Nani anayefanya vizuri kuliko yule mtu anayemuoa mchumba wake?
Mtu anayechagua kuacha kuoa hufanya jambo nzuri zaidi.

8
1co/07/39.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa muda gani mwanamke anafungwa kwa mume wake?
Amefungwa kwa mumewe kwa muda wote anapokuwa hai.
# Kama mume wa mke muumini akifa, anaweza kuolewa na nani?
Anaweza kuolewa kwa yule anayetaka, lakini tu awe mtu aliye katika Bwana.

8
1co/08/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Katika sura hii je Paulo anaanza kuzungumzia swala gani?
Paulo anazungumzia swala la chakula kilichotolewa sadaka kwa miungu.
# Nini matokeo ya maarifa na Upendo?
Maarifa humfanya mtu ajivune, lakini upendo humjenga.

12
1co/08/04.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Je miungu(sanamu) ni sawa na Mungu?
Hapana. Sanamu katika dunia hii si kitu,na hapana Mungu ila mmoja.
# Mungu mmoja ni yupi?
Kuna Mungu mmoja tu ambaye ni Mungu Baba.vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake.
# Bwana mmoja ni yupi?
Bwana mmoja ni Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na kwa yeye sisi tupo."

4
1co/08/07.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Nini hutokea mtu aliyekuwa mwabudu sanamu akila chakula kana kwamba kilikuwa kimetolewa sadaka kwa sanamu?
Dhamiri zao hupotoshwa kwa kuwa ni dhaifu.

8
1co/08/08.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Je chakula tunachokula hutufanya kuwa safi zaidi au wabaya zaidi kwa Mungu?
Chakula hakiwezi kututhibitisha kwa Mungu. Hatuna ubaya kama hatuli, na hatuna uzuri kama tukila.
# Tufanye nini ili tuwe makini uhuru wetu usiwe sababu ya mtu aliye dhaifu kujikwaa?
Tunapaswa kuwa makini kwamba uhuru wetu usiwe sababu ya mtu aliye dhaifu katika imani kujikwaa.

16
1co/08/11.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Nini kinaweza kutokea kwa kaka au dada mwenye dhamiri dhaifu ikiwa wale wanaofahamu ukweli kuhusu asili ya sanamu hawatakuwa makini katika kutumia uhuru wao?
Kaka au dada mwenye dhamiri dhaifu anaweza kuharibiwa.
# Tunafanya dhambi dhidi ya nani ikiwa tutasababisha kwa makusudi kaka au dada katika Kristo wajikwae kwa sababu ya dhamiri za dhaifu?
Tunafanya dhambi dhidi ya kaka au dada tunayesababisha ajikwae na tunafanya dhambi dhidi ya Mungu.
# Tunafanya dhambi dhidi ya nani ikiwa tutasababisha kwa makusudi kaka au dada katika Kristo wajikwae kwa sababu ya dhamiri za dhaifu?
Tunafanya dhambi dhidi ya kaka au dada tunayesababisha ajikwae na tunafanya dhambi dhidi ya Mungu.
# Paulo anasema atafanya nini kama chakula kinasababisha kaka au dada yake kujikwaa?
Paulo anasema kama chakula kinasababisha kaka au dada kujikwaa, hatakula tena nyama.

8
1co/09/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo alitoa kielelezo gani kuwa yeye ni mtume?
Paulo anasema kwa sababu waumini wa Wakorintho walikuwa kazi yake katika Bwana, wao wanyewe walikuwa uthibitisho wa utume wake katika Bwana.
# Paulo alitoa kielelezo gani kuwa yeye ni mtume?
Paulo anasema kwa sababu waumini wa Wakorintho walikuwa kazi yake katika Bwana, wao wanyewe walikuwa uthibitisho wa utume wake katika Bwana.

8
1co/09/03.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo aliorodhesha kitu gani kama haki za mitume, ndugu wa Bwana, na Kefa?
Paulo alisema walikuwa na haki ya kul na kunywa, na haki ya kuambatana na mke ambaye ni muumini.
# Paulo aliorodhesha kitu gani kama haki za mitume, ndugu wa Bwana, na Kefa?
Paulo alisema walikuwa na haki ya kula na kunywa, na haki ya kuambatana na mke ambaye ni muumini.

4
1co/09/07.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Paulo alitoa mifano gani kwa wale wanaopokea faida au malipo kutoka katika kazi zao?
Paulo anataja maaskari, mtu anayepanda shamba la mizabibu, na mtu chungaye kundi kama mifano ya wale watu wanaopokea faida au malipo kutoka katika kazi zao.

4
1co/09/09.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Paulo anatoa mifano gani kutoka katika sheria ya Musa ili kutetea wazo lake la kupokea faida au malipo kutoka katika kazi?
Paulo ananukuu amri, "usimfunge ng'ombe kinywa apulapo nafaka" kutetea hoja yake.

8
1co/09/12.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini Paulo na wenzake hawakudai haki ya kupokea vitu kutoka kwa Wakorintho?
Paulo na wenzake hawakudai haki hii ili kusuwe na kipingamizi kwa injili ya Kristo.
# Bwana aliagiza nini kwa wale wanaotangaza injili?
Bwana aliagiza kwamba wale wanaotangaza injili wanapaswa kupata mahitaji yao kulingana na injili.

4
1co/09/15.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Paulo alisema hatajivuna kuhusu kitu gani, na kwa nini hakuweza kujivuna?
Paulo alisema hawezi kujivuna juu ya kuhubiri injili kwa sababu alipaswa kuhubiri injili.

8
1co/09/19.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini Paulo alikuwa mtumishi wa wote?
Paulo alikuwa mtumishi wa wote ili awalete watu wengi kwa Mungu.
# Paulo alikuwa kama nani ili kuwapata Wayahudi?
Paulo alikuwa kama Myahudi ili kuwapata Wayahudi.

8
1co/09/21.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo alikuwaje ili kuwapata wale waliokuwa nje ya sheria?
Paulo alikuwa kama wale walio nje ya sheria ili kuwapata walio nje ya sheria.
# Kwa nini Paulo alifanya mambo yote kwa ajili ya injili?
Alifanya hivi iliaweze kushiriki katika baraka za injili.

12
1co/09/24.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Paulo alisema kukimbia kwa namna gani?
Paulo alisema kukimbia ili kupata tuzo.
# Paulo alikuwa akikimbia ili kupata tuzo ya namna gani?
Paulo alikuwa akikimbia ili kupoke tuzo isiyoharibika.
# Kwa nini Paulo aliutiish mwili wake na kuufanya kama mtumwa?
Paulo alifanya hivyo baada ya kuwa amewahubiria wengine, yeye mwenyewe asije kukataliwa.

12
1co/10/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Ni mambo gani ya kufanana yaliwapata baba zao wakati wa Musa?
Wote walikuwa chini ya wingu na wakapita katika bahari. Wote walibatizwa wawe wa Musa ndani ya wingu na ndani ya bahari, na wote walikua chakula cha roho kile kile, wote walikunywa kinywaji kile kile cha roho.
# Ni mambo gani ya kufanana yaliwapata baba zao wakati wa Musa?
Wote walikuwa chini ya wingu na wakapita katika bahari. Wote walibatizwa wawe wa Musa ndani ya wingu na ndani ya bahari, na wote walikua chakula cha roho kile kile, wote walikunywa kinywaji kile kile cha roho.
# Mwamba wa roho uliowafuata baba zao ulikuwa nani?
Kristo alikuwa ndiyo huo mwamba uliowafuata.

4
1co/10/05.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kwa nini Mungu hakupendezwa na baba zao wakati wa Musa?
Hakupendezwa nao kwa sababu baba zao walitamani mambo maovu.

8
1co/10/09.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Mungu aliwaharibu kwa njia gani watu ambao hawakutii?
Mungu aliwaharibu kwa nyoka, na kwa malaika wa mauti.
# Mungu aliwaharibu kwa njia gani watu ambao hawakutii?
Mungu aliwaharibu kwa nyoka, na kwa malaika wa mauti.

12
1co/10/11.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Kwa nini mambo haya yalitokea na kwa nini yaliandikwa?
Yalitokea kama mifano kwetu na yaliandikwa ili kutuongoza
# limetokea jaribu lolote ambalo ni la pekee kwetu?
Hakuna jaribu lilotupata ambalo si la kawaida kwa wanadamu wote.
# Mungu amefanya nini kutuwezesha kuvumilia majaribu?
Ametupatia njia ya kutokea kwa hiyo tunaweza kuvumila majaribu.

8
1co/10/14.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Paulo anawaonya waumini wa Koritho kitu gani wakikimbie?
Anawaonya wakimbie kutoka katika ibada ya sanamu.
# Ni kikombe gani cha baraka waumini hukibariki na mkate gani wanaumega?
Kikombe ni ushirika katika damu ya Kristo. Mkate ni ushirka katika mwili wa Kristo.

16
1co/10/20.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Wapagani wa mataifa hutoa sadaka zao kwa nani?
Wanatoa vitu vyao kwa mapepo na si kwa Mungu.
# Kwa kuwa Paulo hakutaka waumini wa Korintho kushirikiana na mapepo, jambo gani anawaambia hawawezi kufanya?
Paulo anawaambia hawawezi kunywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mapepo na hawawezi kuwa na ushirika katika meza ya Bwana na katika meza ya mapepo.
# Kwa kuwa Paulo hakutaka waumini wa Korintho kushirikiana na mapepo, jambo gani anawaambia hawawezi kufanya?
Paulo anawaambia hawawezi kunywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mapepo na hawawezi kuwa na ushirika katika meza ya Bwana na katika meza ya mapepo.
# Sisi waumini wa Bwana tunapata hatia gani kama tukishirikiana na mapepo?
Tunapata hatia kwa kumkasirisha Bwana kwa kumtia wivu.

4
1co/10/23.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Je tunapaswa kutafuta mazuri yetu wenyewe?
Hapana. Badala yake kila mmoja atafute mazuri kwa ajili ya jirani yake.

4
1co/10/25.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Je unapaswa kufanya nini kama mtu asiyeamini atakualika kula na unataka kwenda?
Unapaswa kula chochote akupacho bila kuuliza maswali ya dhamiri.

8
1co/10/28.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# kama asiyeamini atakupa chakula na unapotaka kula anakuambia kimetolewa kwenye sadaka ya wapagani kwa nini hupaswi kula?
Hupaswi kula kwa ajili ya mtu aliyekupa taarifa na kwa ajili ya dhimiri za watu wengine wengine.
# kama asiyeamini atakupa chakula na unapotaka kula anakuambia kimetolewa kwenye sadaka ya wapagani kwa nini hupaswi kula?
Hupaswi kula kwa ajili ya mtu aliyekupa taarifa na kwa ajili ya dhimiri za watu wengine wengine.

12
1co/10/31.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Tunapaswa kufanya nini kwa ajili ya utukufu wa Mungu?
Tunapaswa kufanya mambo yote, ikiwa pamoja na kula na kunywa, kwa utukufu wa Mungu.
# Kwa nini hatupaswi kuwa kikwazo kwa Wayahudi au Wayunani au kwa kanisa la Mungu?
Tunapaswa tusiweke kikwako chochote kwao ili waweze kuokolewa.
# Kwa nini hatupaswi kuwa kikwazo kwa Wayahudi au Wayunani au kwa kanisa la Mungu?
Tunapaswa tusiweke kikwako chochote kwao ili waweze kuokolewa.

28
1co/11/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,28 @@
# Paulo aliwaambia waumini wa Korintho wamuige nani?
Paulo aliwaambia kumuiga yeye.
# Paulo alimuiga nani?
Paulo alimuiga Kristo
# Kwa jambo gani Paulo aliwasifu waumini wa Korintho?
Paulo aliwasifu kwa kumkumbuka katika kila jambo na kwa kushika mapokea kama alivyowafundisha.
# Kichwa cha Kristo ni nani?
Mungu ni kichwa cha Kristo
# Kichwa cha mwanaume ni nani?
Kristo ni kichwa cha kila mwanaume.
# Kichwa cha mwanamke ni nani?
Mwanaume ni kichwa cha mwanamke.
# Hutokea nini mwanaume anaposali huku amefunika kichwa chake?
Hukiaibisha kichwa chake, kama anaomba huku amefunika chichwa.

4
1co/11/05.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Hutokea nini mwanamke anaposali huku hajafunika kichwa chake?
Mwanamke yeyote anayesali bila kufunika kichwa chake hukiaibisha kichwa chake.

4
1co/11/07.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kwa nini mwanaume hapaswi kufunika kichwa chake?
Hapaswi kufunika kichwa chake kwa sababu yeye ni taswira na utukufu wa Mungu

8
1co/11/09.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Mwanamke aliumbwa kwa ajili ya nani?
Mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume
# Kulikuwa na desturi gani kwa Paulo, washirika wake na makanisa ya Mungu kuhusu wanawake wanapoomba?
Ilikuwa ni desturi kwa wanawake kuomba wakiwa wamefunika vichwa vyao.

8
1co/11/11.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kwa nini wanaume na wanawake wanategemeana?
Mwanamke anatoka kwa mwanaume na mwanaume anatoka kwa mwanamke
# Kwa nini wanaume na wanawake wanategemeana?
Mwanamke anatoka kwa mwanaume na mwanaume anatoka kwa mwanamke

8
1co/11/13.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Kulikuwa na desturi gani kwa Paulo, washirika wake na makanisa ya Mungu kuhusu wanawake wanapoomba?
Ilikuwa ni desturi kwa wanawake kuomba wakiwa wamefunika vichwa vyao.
# Kulikuwa na desturi gani kwa Paulo, washirika wake na makanisa ya Mungu kuhusu wanawake wanapoomba?
Ilikuwa ni desturi kwa wanawake kuomba wakiwa wamefunika vichwa vyao.

4
1co/11/17.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Kwa nini lazima iwepo migogoro miongoni mwa Wakristo wa Korintho?
Lazima iwepo migogoro kati yao ili kwamba wajulikane waliokubaliwa.

4
1co/11/20.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Nini kilikuwa kikitokea wakati Kanisa la Korintho walipokuja kula pamoja?
Walipokula pamoja kila mmoja alikula chakula chake mwenyewe kabla wengine hawajala. Mmoja alibaki njaa na mwingine alilewa.

8
1co/11/23.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Usiku ule aliposalitiwa Bwana alisema nini baada ya kuuvunja mkate?
Alisema, "Huu ndio mwili wangu, ulio kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi."
# siku ule aliposalitiwa Bwana alisema nini baada ya kuuvunja mkate?
Alisema, "Huu ndio mwili wangu, ulio kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi."

8
1co/11/25.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Bwana alisema nini alipokichukua kikombe baada ya chakula cha jioni?
Alisema,"Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu. Fanyeni hivi mara nyingi kila mywapo, kwa kunikumbuka mimi."
# Bwana alisema nini alipokichukua kikombe baada ya chakula cha jioni?
Alisema, "Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu. Fanyeni hivi mara nyingi kila mywapo, kwa kunikumbuka mimi."

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More