sw_tn/mrk/05/33.md

16 lines
375 B
Markdown

# alianguka chini mbele yake
"alipiga magoti mbele zake." Alipiga magoti mbele ya Yesu kama tendo la heshima na utii.
# kumwambia ukweli wote
Maneno "ukweli wote" urejea kwa namna alivyomgusa na kupona. "kumwambia ukweli wote kuhusu alivyomgusa"
# Binti
Yesu alikuwa akiitumia istilahi hii kwa mfano kurejea kwa mwanamke kama muumini.
# imani yako
"imani yako kwangu"