|
# Usikae
|
|
|
|
Neno hili linasisitiza kuwa hakutaka Mlawi akae.
|
|
|
|
# Njia kuu
|
|
|
|
Hii inamaanisha njia kuu za mji pia ni sehemu ya soko ambayo watu hukusanyika wakati wa mchana.
|
|
|
|
# akamleta Mlawi nyumbani kwake
|
|
|
|
Hii inamaanisha kuwa akamkaribisha Mlawi ashinde nyumbani kwake usiku ule.
|