sw_tn/1ch/06/13.md

8 lines
360 B
Markdown

# Hilikia ... Seraia ... Yehozadaki
Haya ni majina ya wanaume.
# wapeleka utumwani Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Nebukadneza.
Nguvu ya Nebukadneza kupitia jeshi lake inafafanuliwa kama sehemu ya mwili wake ("mkono") alitumika kuongoza jeshi lake. " aliruhusu jeshi la Nebukadneza kushinda majeshi ya Yuda na Yerusalemu na kuchukua watu kwenda matekani."