24 lines
882 B
Markdown
24 lines
882 B
Markdown
# Habari za Jumla:
|
|
|
|
Ayuba anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake watatu.
|
|
|
|
# Yeye amewaweka ndugu zangu mbali kutoka kwangu mimi;
|
|
|
|
kuwa mbali "mbali kutoka" kwa mtu fulani inawakilisha kutokutaka kuhusiana na yeye au kumsaidia yeye" Mungu amewasababisha ndugu zangu kukaa mbali na mimi" au " Mungu kuwasababisha ndugu zangu kukataaa kunisaidia mimi"
|
|
|
|
# watu wangu wa karibu wote wamejitenga kutoka kwangu mimi
|
|
|
|
wasaidizi wangu wamejitenga wao wenyewe kuto kwangu" au " rafiki zangu hunitendea mimi kama mgeni"
|
|
|
|
# Vizazi vyangu vimeniangusha mimi
|
|
|
|
"ndugu zangu mimi wameniacha bila msaada"
|
|
|
|
# rafiki zangu wa karibu
|
|
|
|
"rafiki zangu wa karibu"
|
|
|
|
# wamenisahamu mimi
|
|
|
|
Hii ina maana kwamba wao wamekataa kumtenda yeye kulingana na jinsi yeye na wao wamekuwa wakihusiana kwa kila mmoja wakati uliopita. Inamaanisha kwamba wao wanamtelekeza yeye. "wamenitelekeza mimi" au"kunipuuza mimi"
|