sw_tn/1ch/05/07.md

16 lines
347 B
Markdown

# wameorodheshwa katika nakala za uzao wao
Hii yaeza anza sentensi mpya: "Nakala zao za uzao zimewaorodhesha kama"
# nakala za uzao
nakala zinazoonyesha jinsi watu katika familia wanavyo husiana wao kwa wao
# Yeieli ... Zekaria ... Bela ... Azazi ... Shema
Haya ni majina ya wanaume
# Aroeri ... Nebo ... Baali Meoni
Haya ni majina ya miji