sw_tn/psa/049/009.md

16 lines
386 B
Markdown

# ili mwili wake usioze
Hii inamaanisha mwili kuoza katika kaburi.
# ataona uozo
Mwandishi anazungumzia kupitia kitu kana kwamba ilikuwa ni kukiona hicho kitu. "atakufa na mwili wake kuoza"
# Watu wenye hekima hufa; mpumbavu na mjinga wote wanaangamia
Mwandishi anamaanisha watu wote kwa kuwataja wale walio na hekima nyingi zaidi na kidogo zaidi.
# mjinga
mtu ambaye hajui kitu