sw_tn/zec/01/07.md

480 B

Katika siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kumi na moja, ndiyo mwezi wa Shebati,

siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kumi na moja, ndiyo mwezi wa Shebati - "Shebat" ni mwezi wa kumi na moja katika kalenda ya Kiebrania. Siku ya ishirini na nne ni sawa na karibu katikati ya mwezi wa pili katika kalenda ya sasa.

Neno la Yahwe lilikuja

Yahwe alisema neno lake

Berekia... Ido

Haya ni majina ya wanaume.

miti ya mihadasi

ni aina ya miti midogo yenye maua yenye rangi.